2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI MAGARI SABA#200K
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko na public toilet
Kodi 200,000 Kwa mwezi × 6
Haina fence ila parking IPO inajitegemea umeme na maji. Full AC
Umbali Dakika 5 Kwa mguu kutoka Morogoro Road
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1
What saapp number 0689-547258