2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam






APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 370,000/= X 3
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI KODI YA MWEZI MMOJA 
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 KIKUBWA VYA  KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI 
#PUBLIC TOILET
#STORE KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI 
#GARDEN
BEI NI 370,000/= X 3
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA YA ZEGE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0785889413




















