2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA 250K
.
LOCATION: MBEZI KWA MSUGURI KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 1000 BODA 700
.
SIFA ZAKE
=========
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
.
ZIPO APARTMENT 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA NA KILA MMOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
0742260844
0657384670