2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI KABISA INAPANGISHWA BEI YA KUTUPA KABISAA
LOCATION:MBEZI MWISHO NJIA YA MPIJI (Machimbo)
BAJAJI:1000
🥕VYUMBA VIWILI HAKUNA MASTER
🥕SEBURE KUBWA
🥕JIKO SAFII
🥕TOILET PUBLIC
🥕UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
🥕FENCE
🥕PARKING KUBWA SANA
KODI YAKE:200,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 3
CONTACT
0782428327