2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
MBEZI MWISHO MAGARI SABA
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA ZURI
#PUBLIC TOILET π»
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENCE MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 300,000/=Γ6
AGENT FEE 1 MONTH
SURVEY CHARGE 20K
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI MAGARI SABA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA KM 1 BODABODA 1000
π CONTACT
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp