2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 3 BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 3 NA ELFU 50 TUU
 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#GARDEN
BEI NI 350,000/= X 3
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY SHILINGI LAKI 3 NA ELFU 50 TUU)
 APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA 
O677370515 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA




















