2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
:
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA USAFIRI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#PAVING
#GARDEN
BEI NI 450,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 10 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
0716 776247
0754 221168