2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENTS CLASSIC FOR RENT
MAHALI: MBEZI MWISHO
DAKIKA 10 KWA MIGUU KUTOKA STAND 🚶🚶
➖➖➖➖➖➖➖➖
HAPA KUNA NYUMBA ZA AINA MBILI
KUNDI "A"
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI 🚻
KODI 360,000 × 6 AU 410,000 × 3
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUNDI "B"
MASTER KUBWA SANAA
JIKO NDANI LENYE MAKABATI
HAKUNA SEBULE
NDANI YA FENCE
KODI 250,000 × 3
PIA KUNA MASTER NA JIKO 200,000 ×3
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
MAJI YA DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS
LUKU YAKO
PARKING KUBWA SANA HATA LORRY LINAPAR
STORAGE YA MAJI HAPA UHAKIKA KABISA
SHIDA YA MAJI HAPA SAHAU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NB: HIZI NYUMBA UKILIPA KODI UNAKUWA UMELIPA , MAJI HUMOHUMO, ULINZI, TAKATAKA, USAFI WA MAZINGIRA...MLINZI YUPO GETINI MUDA WOTE
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp