2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
# HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI (PUBLIC TOILET )
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#FULL SECURITY
BEI NI 300 000/= X 6
APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
What saapp number 0689-547258