2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







——
APARTMENT NZURI YA KISASA NA MAZINGIRA MAZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350K X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#GARDEN
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO IMEBAKIA
BEI NI 350K X 6
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA,, NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
📌📌NJIA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI ZA KUFIKA KWENYE NYUMBA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NJIA NAYO NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15000 KUONA NYUMBA
ALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















