2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(350,000 Γ 6) πππ ππ₯π π§ππ ππ’π‘π pia unaweza pitia π ππππ πππππ‘ππ πππ π πππ
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= Γ 6
πAPARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 350,000/= Γ 6
π«π«APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 NA USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA VIZURI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300