2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(250,000X5) MBEZI MWISHO NJIA YA MPIJI MAGOHE MACHIMBO, BAJAJI 1000, DALADALA 700
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI
BEI NI 250,000/= X5x6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI BARABARA YAMPIGI KITUOMACHIMBO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA USAFILI BAJAJI 1000 DALADALA 600
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976023