2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam






Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Almas Street), Dar-Es-Salaam, Tanzania 🇹🇿
Ina :
🟢 Vyumba Viwili Vya Kulala(Vyote Masta), Sebule, Jiko
🟢 Inajitegemea Kwenye Umeme na Maji
Kodi : 400,000 Tshs Kwa Mwezi
0743688011



















