2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA
šMbezi kwa msuguli
š Km 1.8 kutoka morogoro road Usafili bajaji 700 ukishuka dakika 5 boda boda 1000 mpaka getini
#SIFAZAKE
š¶Vyumba 2 vya kulala Chumba kimoja master
š¶Sebule
š¶Jiko
š¶Publick toilet
š¶Umeme & maji #Inajitegemea
š¶Fence, Car Parking & Pavings
šHii ipo wazi ya kuhamia
š·Kodi Tsh 300,000/=Ć6(Miezi Sita)
š·Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
š·Service Charge Tsh 15,000/-
#Piga_simu
#0627977383.&Whatsapp
#please #Follow us
Karibu Sana Mtejaāŗ