2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Mpya Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach (Tankbovu) , Dar-Es-Salaam, Tanzania
Ina :
🔸️ Vyumba Viwili Vya Kulala ( Kimoja Masta)
🔸️ Sebule
🔸️ Jiko la Kisasa lenye Makabati
🔸️ Choo cha Public
🔸️ Parking Space
Nyumba Ya Pili Kutoka Lami
Bei : Million 1.5 Tsh Kwa Mwezi
Kwa Mawasiliano Zaidi:-
Piga :0715384892