2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(400,000 × 3) MBEZI MWISHO NJIA YA GOBA
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA MBEZI MWISHO NJIA YA GOBA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 400,000/= × 3
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NJIA YA GOBA UMBALI WA DAKIKA 7 KWA MGUU KUTOKA GOBA ROAD
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300