2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
:
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE YA WASTANI
#JIKO LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN NZURI
#PAVING
#GATE ZURI LINATUMIA REMOTE
BEI NI 400,000/= X 6
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168