2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 350,000/= X 6
AGENT FEE 1 MONTH
SURVEY CHARGE 20K
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO MBEZI MAGARI SABA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA KM 1 BODABODA 1000
๐ CONTACT
CALL/WHATSAPP...O677370515