2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mtoni, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa tsh 200,000 kwa mwezi
iko mtoni kijichi ina vyumba viwili,sitting room,jiko & public toilet (Miezi 6) NOTE! HAINA MASTER
UMEME NA MAJI UTAJITEGEMEA
Fensi mtashea wanne na kuna parking
===============
0712445523