2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







#Apartment Inapangishwa Laki 2 na Elfu 50 Kwamwezi. (250,000) Ipo Pugu Kona Ukonga Dar es salaam. Vyumba 2 Kimoja Master Sitting room jiko na Public Toilet. Nyumba Ina Tiles na Jypsum. Nyumba Ipo ndani fensi Inajitegemea maji na umeme. Mkataba Kodi ya Miezi 3. Umbali kutoka Main road Mpaka Kwenye Nyumba ni Dakika 10 Kwa Miguu.
TUPIGIE CM
0672580680
0678588718. WHASP