2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Sinza, Dar Es Salaam


(550,000 × 6) 𝗦𝗜𝗡𝗭𝗔 𝗩𝗔𝗧𝗜𝗖𝗔𝗡
APARTMENT NZURI YA KISASA IPO SINZA VATICAN NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 550,000/= X 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/ 2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NZURI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI YAPO MASAA 24
#PARKING
BEI NI 550,000/= × 6
UKILIPIA KODI HII UTALIPIA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY SHILINGI LAKI 2 TUU)
💫💫 APARTMENT HII IPO SINZA VATICAN JIRANI KABISA NA BARABARA NA MTAA MZURI SANA NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 20,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300