2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 Tsh. 300k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: TABATA KIMANGA STAND
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kutembea kwa Mguu Dakika 5 Kutoka Stand, Bajaji za EXTERNAL 700
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Vyumba VIWILI vya Kulala Vikubwa
• Jiko Kubwa
• Choo kizuri Ndani
Apartment zipo 3 tu ndani ya Fensi ya Waya Nzuri Parking Haipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp