2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA 
IKO ~DAR ES SALAAM Tz 
MAHALI ~ TABATA KINYEREZI SONGAS ZABIKHA 
___________
MUUNDO ~
⏯️vyumba viwili vya kulala 
⏯️Kimoja wapo ni Masta 
⏯️Sebule 
⏯️Jiko
________
Parking kubwa 
Ndani ya fence zipo apartment 2 tu 
______
Kila moja inajitegemea maji na umeme 
___
Kodi tsh 400,000 kwa mwezi 
📞
Service charge 15000
===============



















