2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Tabata Kisukuru,Maji Chumvi Kupitia Ubungo External
🕑1.4km Kutoka Mandela Main Road, Bajaji 700 au Boda 1000 Ukishuka Dakika 5 Upo ndani
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili, Hakuna Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Public Toilet ya ndani
🔹Umeme & Maji #Inajitegemea
🔹Fenced Car parking
🔶Kodi Tsh 250,000/=×6 Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 250,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊