2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


(800,000X6)UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2VIWILI VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
# AIR CONDITION NA MAJI MOTO MAJI BARIDI
#PARKING KUBWA
BEI NI 800,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO UBUNGO RIVERSIDE KUTOKA MAIN ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024