2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment house for Rent za Kisasa
Location Ubungo Kibo Dakika 15 Kutembea mpka home
Kodi 250000×5 Kwa mwezi Dalali mwezi 1 Service Charge 20000 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
===≠======≠=======
Room 2 za Kulala
Sitting room
Sehemu ya jiko
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Garden nzuri
Apartment zipo 2 tuu
Good environment