2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO ZURI
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE
UMBALI WA KM 1.8 KUTOKA UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
KODI NI 250.000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
APARTMENT INA TILLES GYPSUM SAFI DRISHA SHATA MAZUR YENYE HEWA SAFI IPO NDAN YA FENS ILA SIO YA KULAZA GARI INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI MITA YAKE NA YANAFLOW NDANI
NYUMBA MPYA NZURI 250X5 NA MWEZI MMOJA WA DALALI Mwezi 1 PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SERVICHAJ ELFU 20
PIA KUNA NYUMBA YA ROOM 2
KODI 300000ร6 KWA MWEZI