2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Uwanjani, Songwe







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI:
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI LENYEMAKABATI LIPO FULL
HEATER YA MAJI MOTO,VUGUVUGU CHOONI
PUBLIC TOILET NDANI
UMEME LUKU YAKE
MAJI YA BILI DAWASA
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
NYUMBA MPYA
KODI 300,000 X 4
SIMU
0712656027