2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Uwanjani, Songwe


APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA 
LOCATION:
KWA MSUGURI 
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 8 KWA MIGUU 
SIFA ZAKE :
HAPA KUNA MAKUNDI MAWILI
KUNDI A VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA 
SEBULE KUBWA 
JIKO ZURI LENYEMAKABATI 
PUBLIC TOILET NDANI 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI 
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK 
KODI 500,000 X 6
KUNDI B:
CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA 
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI LENYEMAKABATI 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI 
KODI 350,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA 
PIGA CM# 0674860193




















