2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Wazo, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI SANA NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA 
INAPANGISHWA 
WAZO BWAWANI 
MITA CHACHE KUTOKA LAMI 
INA VYUMBA 2 VYA KULALA 
VYUMBA VYOTE SELF COUNTED 
SITTING ROOM, DINING ROOM, KITCHEN 
PUBLIC TOILET NDANI YA GETI ZIPO 5
BEI TSH 450,000/=
KODI MIEZI SITA 
0712154044




















