2 Bedrooms House/Apartment for sale at Bunju, Dar Es Salaam
NYUMBA YA BIASHARA (APARTMENTS) INAUZWA BINAFSI
IPO Bunju Mianzini Dar es salaam Tanzania
ukiwa unaenda bunju upande wa kulia, ziko 2 kwenye fens.
Kila moja ina vyumba 2 kimoja self, sebule, jiko, choo cha public. wapangaji wanalipa laki 4 kila moja zote laki 800 bei
Bei milion 150 maongezi yapo
Tupigie 0625584914