2 Bedrooms House/Apartment for sale at Madale, Dar Es Salaam


Apartment mpya 2 zinauzwa:
Nyumba ziko ndani ya fens
Zina room 2 moja self kila mmoja
Sebule jiko na public toilet
Eneo- sqm 433
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 80 maongez
Location- madale mbopo
Umbali-km 4 kutoka main road madale mwisho
Na mita 100 kutoka barabara kubwa ya madale mbopo
Karibuni