2 Bedrooms House/Apartment for sale at Magomeni, Dar Es Salaam


Apartment inauzwa ipo magomeni mapipa kama ukitokea kkoo kuja magomeni iko kushoto jirani na kituo cha mwendo kasi
- Ina vyumba v4 vikubwa, master bedrooms 2
- Iko floor ya kwanza
- Ina hati miliki
- Bei TZS 300million maongezi yapo
Contact call 0712531657#0789731695