Plot for sale at Bagamoyo, Mbeya


*Hotel yenye vyumba 17 inauzwa Bagamoyo-Kerege*
*Location* Hotel inatazama lami ya Bagamoyo road
-Hoteli ina vyumba vya kulala 17 ambapo vyumba 13 ni masterbedrooms, Bar 2, Moja ipo Garden, 2 Kitchens, Garden.
-Swimming pool
*Hotel inahitaji ukarabati baadhi ya vyumba vina AC na kwa sasa haifanyi kazi*
-Plot size Ekari 3 ambapo Ekari 2 zipo kwenye *(Title Deed)* zingine surveyed zote kwenye eneo moja.
-Document: Title Deed
0787 939 898
*Bei shilingi 1.3 Bilioni maongezi yapo*