Plot for sale at Bagamoyo, Mbeya


NYUMBA INAUZWA BAGAMOYO KATIKA ENEO LA UKUNI
NYUMBA NI MPYA NA INA VYUMBA VINNE VYA KULALA NA VIWILI KATI YA HIVYO NI MASTER,SEBULE YENYE SITING NA DINING,JIKO,STORE NA PUBLIC TOILE
PIA KUNA NYUMBA NDOGO YENYE VYUMBA VIWILI PIA KUNA FLEM YA BIASHARA
NYUMBA INA KISIMA CHA MAJI
NYUMBA IPO KWENYE KIWANJA KILICHOPIMWA NA KINA HATIMILIKI
UKUBWA WA KIWANJA NI MITA 743
BEI NI MILIONI MIA NA ISHIRINI(120,000,000)
SIMU:0684823146