Plot for sale at Buguruni, Dar Es Salaam
PLOT FOR SALE
LOCATION; buguruni sheli
Sqm; 1,777
Bei; 2.5 Billion.
Ni commercial plot, kimepakana na lami,
Ni kizuri kwajili ya
- kujenga sheli
- shopping mall au frame za biashara
- kutengeneza parking au yard za magari
- kujenga kanisa,shule, hospital au
- institution nyingine
- kujenga uwanja wa michezo n.k
Kiwanja kipo sehemu iliyochangamka/potential sana.
Hati ipo.