Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam




Hili Eneo linauzwa lipo bunju sokon kinatazama barabaran
Ina ukubwa wa square meet 3200 Lina uzwa tsh milion 600 mazungumzo yapo
Linafaa Kwa apartment
She'll
Gereji kubwa
Showroom
Super market
Nk nk
Pazur sana..
Service charge tsh 50 kulion eneo karibu sana...