Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam


ENEO LINAUZWA
___________
LOCATION: BUNJU 'A' - Shule (Mita 100 kutoka Main Road).
___________
KIWANJA: Kina SQM 750
Kimepimwa ila Hati yake bado haijatoka.
Ndani ya hiko kiwanja kuna Nyumba ya:-
Nyumba ina vyumba 6, Sebure, Jiko na Public Toilet.
Pia kuna nafasi ambayo unaweza ukajenga Appartments.
Eneo ni zuri sana, Muuzaji anauhitaji mkubwa wa Fedha.
___________
BEI: TSH MIL 100 Ila maongezi yapo.