Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa. Hii nyumba inatupwa
—
Bei: Tsh mil 24,900,000/= (milioni ishirini na nne na laki tisa tu)
—
Vyumba Vitatu kimojawapo ni master, sebule, jiko , dining na public toilet.
—
Ukubwa wa kiwanja: Almost SQM 400. Kiwanja kimeacha nafasi ya parking gari mbili na garden
—
Location: Ipo BUNJU A mji mpya. Kilometer 4 tu toka lami ya bunju.
—
Tupigie simu 0789-100 100 au 0675-200 300 vijana_realestate ofisi zetu zipo tegeta azania CHIEF HOUSE ghorofa ya kwanza