Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam


*Nyumba mpya inauzwa Bunju A*
*Distance* Meter 150 kutoka lami ya Bagamoyo road
-Nyumba ina vyumba 3 vya kulala, chumba kimoja ni master bedroom, dinning room, sitting room, kitchen na public toilet.
-Plot size Sqm 366
-Title deed
*Bei shilingi milioni 180 maongezi yapo*