Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam


DATE: 23/05/2024
NYUMBA INAUZWA
BEI: TSH MIL 90. Ila maongezi yapo.
___________
LOCATION: BUNJU B - Njia ya Mabwepande.
___________
KIWANJA: Kina ukubwa wa Sqm 800.
Kimepimwa na kina Hati ya Wizara.
___________
Nyumba ina Vyumba 3 vya kulala, Chumba 1 Master, Sebure, Dining, Jiko na Public Toilet.
Maji ya Dawasco na Ina umeme wa Tanesco
___________
Kwa Mawasiliano:-
Piga/WhatsApp : 0713 - 958 395
0687 - 800 788