Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam


Kiwanja cha kuokota. Kiwanja kinauzwa. — Bei sasa ni TSH MIL 4,900,000/= ( milioni nne na laki tisa tu) __ Ukubwa: kina karibia 15 kwa 21__ Location: kipo BUNJU A MJI MPYA. Hapa ni kilometer 4 tu toka bagamoyo road. Umeme na Maji Vipo site na majirani wameshahamia. Dalali 10/%0674919323