Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA BOKO
Ipo Boko chama
bei ml 200 maongezi yapo
sqm 900
ni nyumba ya pili kutoka lami
hati ndo ipo kwenye mchakato lakini Ramani na upimaji tayali
Iko kwenye fence,
๐kuna na eneo la mbele ambalo linagusa lami
lina nyumba na mafrem nalo linauzwa ukitaka vyote Kwa pamoja ml 450
maongezi yapo mafrem yapo
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#nyumbayamabingwa
#boko
#bunju
#daressalaamapartments
#nyumbadareslaam
#nyumbatanzania