Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA HII INAUZWA MWENYEWE ANA UHITAJI WA PESA HARAKA
ALIIJENGA KIBIASHARA SANA HASA HOSP AU SHULE YA AWAL NASARY NA PEMBENI AMEJENGA BANDA LA KUKU NI LAKUVUNJA UKIPENDA.
ALIKODI MTU AKAWEKA HOSP AMEKAA ZAID YA MIAKA 6 ALIPOJENGA KWAKE AMEHAMA MWENYEWE AMEAMUA KUUZA .
PAZURI SANA KWA HOSP AU NASARY SCHOOL
JENGO LIPO BUNJU A UKITOKEA MJINI KULIA SIO MBALI NA BAGAMOYO ROAD
MTAA MAARUFU KWA MKANADA.
KUNA HUDUMA ZOTE MUHIMU.
ENEO LINA TITLE DID SQM 1,500
MMILIKI MMOJA
BEI ML 420 MAONGEZI YAPO
CALL 0713355828 AU +255 713958553