Plot for sale at Buswelu, Mwanza
KIWANJA KINAUZWA BUSWELU
-ukubwa wa kiwanja ni SQM 6,045
-kiwanja kimepimwa na kina bicon
-panafaa kwa kanisa, shule ( day care ) hospital n.k
-umbali toka barabara ya lami ni mita 100
-bei Milioni 135 ( maongezi yapo )
☎️ 0743220097