Plot for sale at Buyuni, Dar Es Salaam


* *NEW NEW NEW*
* ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Wale wa kulipa mdogo mdogo bila stress (Mzigo huu hapa)
*BUYUNI 17*
โช๏ธKm 49 kutoka Ferry Mwendo wa saa moja kutoka ferry.
โช๏ธ Eneo ni tambarare limezungukwa na makazi ya watu
โชSqm1@ 8,000Tsh cash
โชSqm1@10,000Tsh installment ya miezi 20
*Anza na 250,000/*..kwa kiwanja cha Sqm 500 bei nzima ya kiwanja ni sh. *5,000,000/=*
Lipa *4,000,000/=* cash kwa kiwanja cha sqm *500*
Call 0717067874