Plot for sale at Buyuni, Dar Es Salaam


*OFFER OFFER*๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Je unahitaji KIWANJA Upate na HATI yako?
Karibu *SURVEYED PLOTS CO. LTD* umiliki kiwanja kwa Punguzo Kubwa la BEI, Lipa kidogo kidogo ndani ya miezi 6, mwaka, hadi miezi 20 utimize NDOTO zako.
๐ฅ๐BUYUNI 14:Anza na *180,000Tsh* kwa sqm 500 malipo miezi 20(3.6M).Km 3.5 kutoka Beach, Km 2.5
kutoka barabara kuu.
๐ฅ*BUYUNI 15: Anza na *200,000Tsh kwa Sqm 500.* Lipa kidogo kidogo *laki 2* kila mwezi ndani ya miezi 20. Jumla Million 4.
๐ฅ๐KIMBIJI BOHARI: Anza na *LAKI 3 na nusu(350,000Tsh)* kwa Sqm 700 malipo miezi 20 (Jumla bei ni Million 7).Km 1.5 kutoka barabara kuu, km 2.5 kutoka Beach. Nusu saa kutoka Ferry.
*๐ฅCHEKA MINONDO*
*Million 10 (kwa sqm 500)malipo cash only.
๐ฅ๐MAHENGE BUYUNI: Km 2 kutoka Beach,Km 1.5 kutoka barabara kuu. Lipa cash *4 M* uchague kiwanja cha ukubwa wowote upate na OFFER ya HATI YA WIZARA BUREE kabisa.
*BUYUNI 4 na BUYUNI 6:* Million 4 cash payment. Hapa ukilipa cash Million 4 unapata na Offer ya HATI BUREE na unachagua ukubwa wowote.
๐๏ธ๐
NOTE:BEACH PLOTS zipo pia.
๐๏ธMIRADI ILIPO:
โชDEGE
โชMCHIKICHINI 1 & 2
โชMBUTTU KICHANGANI BEACH PLOTS
โชCHEKA MINONDO
โชCHEKA SILVER CITY
โชCHEKA AMANI GOMVU BEACH PLOTS.
โชHAWAII BEACH PLOTS At CHEKA.
โชKIMBIJI BOHARI
โชKIMBIJI MORRIS 3 BEACH PLOTS.
โชSANDY BEACH PLOTS At kimbiji.
โชNEW KIMBIJI CENTER BEACH PLOTS.
โชPUNA BEACH PLOTS
โชBUYUNI CITY BEACH PLOTS
โชKEREGE AMANI-Bagamoyo Road
๐Huduma zote za kijamii zinapatikana.
๐HATI ya wizara utapata ndani ya muda mfupi.
๐กโกWekeza kwenye ARDHI ASSET pekee inayopanda Thamani kila siku.
wa.me/+255767002664