Plot for sale at Buzuruga, Mwanza


ENEO LINAUZWA BUZURUGA JIRANI BUZURUGA PLAZA
-eneo limetazama barabara kuu ya lami mwanza - musoma
-ukubwa wa kiwanja ni 30x15
-kwenye kiwanja kuna nyumba
-lina hati miliki mkononi
-bei Tsh Mil 150
-panafaa kwa Fremu, apartment
☎️ 0743220097