Plot for sale at Bwawani, Arusha

 media -1
media -1
Sh. 65,000,000

HOUSE FOR SALE. .
.
Eneo : Tegeta Mivumoni.
Square Meters : 900.
.
.
Bei : Million 65❌ 55✅.
Documents : Surveyed Area.
.
.
HOUSE STRUCTURE.
.
Living Room.
Dining Room.
Open Kitchen.
.
2 Bedroom's.
1 Master Bedroom.
.
.
SERVICES.
.
.
Maji.
Umeme.
Public Toilet.
Parking Space.
.
.
NOTE. .
.
.
Hapo ni Tegeta Maarufu Mivumoni au Tegeta Bwawani.
.
Ukiwa unatoka Tegeta Bagamoyo Road unaelekea Barabara ya Wazo au Madale Upande wa Kulia Kuna sehem inaitwa Bwawani.
.
Hapo Kuna njia Mpya ya Vumbi itakupeleka mpaka kwenye Nyumba.
.
Na ukiwa unatokea Madale kuja Tegeta kabla ya kufika Wazo kiwanda Cha Cement Tegeta Bwawani ipo kushoto.
.
Hii Nyumba ilijengwa kwa Dhumuni la kibiashara yaani Apartment na ziko mbili ukiangalia picha ya mbele Kuna milango miwili ya Grill.
.
Hii Nyumba ni moja kwa Mbili upanda Kulia Kuna living Room Ambayo Ina dinning hapo hapo pamoja na Open Kitchen.
.
Ndani Kuna vyumba viwili kimoja Master na kingine Cha watoto.
.
Na upande wa kushoto nao upo hivyo.
.
Nyumba ni Unfinished haijaisha bado imefanyiwa plastering nje na ndani mfumo wa maji taka upo tayari na gypsum.
.
Aridh yake ni ya udongo mwekundu lakini kiwanja chake kina marefu zaidi ya mapana.
.
Hivyo ukiangalia zaidi utaona nyumba imejengwa kimarefu na si kimapana na badala ya kutazama Barabara imetazama kiwanja kingine.
.
Upande wa kaskazini nyumba imepakana na kiwanja,upande wa kusini Kuna Barabara ambako huko ni nyuma ya Nyumba.
.
Upande wa Mashariki Kuna Fance ya Jirani na upande wa Magharibi Kuna Barabara ya mtaa hivyo nyumba imejengwa kulingana na marefu ya kiwanja na si mapana ya kiwanja.
.
Tunapo zungumzia kupangika kwa mitaa Basi nyumba hii ipo katika eneo lililopangwa na tayari kumesha pimwa na Mawe ya mipaka yaani bicon yamewekwa tayari.
.
Kutoka Tegeta New Bagamoyo Road mpaka kwenye Nyumba ni kilometer 5 hivi.
.
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa mfano kutoka kwenye nyumba mpaka main road Tegeta Madale ni Mite 600.
.
Tuna zungumza moja kwa Moja na Landload yaani Mwenye Nyumba.
.
Kama umevutiwa na Nyumba hii wasiliana na Bwana JENGA. .
.
CONTACT.
.
.
☎️Call 0718 211501.
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email jengarealestate@gmail.com.
.
.
JENGA REAL ESTATE,live a Happy life.

PASHA REAL ESTATE
pasharealestate_tz
PASHA REAL ESTATE

Similar items by location

Plot for sale at Bwawani, Arusha

Sh. 65,000,000

PLOT FOR SALE 14 / 11 / 2024LOCATION: VICTORIA BWAWANIPLOT SIZE SQM: 100FULL TITLE DEEDPrice: Mill...

Plot for sale at Bwawani, Arusha

Sh. 230,000,000

K8WANJA SAFI KINA UZWA TEGETA BWAWANI---------SQMT 2300HATI MILIKI SAFI ----------SERVICE CHARGE 30,...

Plot for sale at Bwawani, Arusha

Sh. 230,000,000

K8WANJA SAFI KINA UZWA TEGETA BWAWANI---------SQMT 2300HATI MILIKI SAFI ----------SERVICE CHARGE 30,...

Plot for sale at Bwawani, Arusha

Sh. 230,000,000

K8WANJA SAFI KINA UZWA TEGETA BWAWANI---------SQMT 2300HATI MILIKI SAFI ----------SERVICE CHARGE 30,...

Plot for sale at Bwawani, Arusha

Sh. 230,000,000

K8WANJA SAFI KINA UZWA TEGETA BWAWANI---------SQMT 2300HATI MILIKI SAFI ----------SERVICE CHARGE 30,...

Plot for sale at Bwawani, Arusha

Sh. 230,000,000

KIWANJA SAFI KABISA KINA UZWA TEGETA BWAWANI --------SQMT 2300HATI MILIKI SAFI ----------SERVICE CHA...

Plot for sale at Bwawani, Arusha

Sh. 230,000,000

KIWANJA SAFI KABISA KINA UZWA TEGETA BWAWANI --------SQMT 2300HATI MILIKI SAFI ----------SERVICE CHA...

House for rent at Bwawani, Arusha

Sh. 450,000

APARTMENT. INAPANGAISHWA VYUMBA VIWILI CHUMBA KIMOJA MASTER -------------------------SEBULE JIKO...

Plot for sale at Bwawani, Arusha

Sh. 65,000,000

HOUSE FOR SALE. ..Eneo : Tegeta Mivumoni.Square Meters : 900...Bei : Million 65❌ 55✅.Documents : Sur...