Plot for sale at Chanika, Dar Es Salaam


ENEO LILILOGUSA BARABARA YA CHANIKA HOMBOZA PWANI DAR ES SALAAM LINAUZWA KWA BEI POA KABISA
BEI MILIONI 15,000,000/= MILIONI
ENEO LIPO TAMBALALE KABISA
UKUBWA WA ENEO MAREFU MITA 60
UKUBWA WA ENEO MAPANA MITA 20
ENEO LINA HATI SAFI YASEREKALI YAMTAA
KARIBUNI SANA WATEJA WANGU ENEO LINATUPWA KWA BEI POA KABISA
WOTE MNAKARIBISHWA